NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
NYUMBA NI YA VYUMBA V4 NYUMBA IPO KWENYE MFUMO WA KUPANGISHA CHUMBA KIMOJA KIMOJA
ENEO SQM 300
BEI MIL 12
UMBALI KUTOKA MORO ROAD NI KM 2 TU
UMEME HAJAWEKA NGUZO IPO HAPO NA MAJI YAPO HAPO
VYUMBA VYOTE v4 VINA WAPANGAJI