Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa Mbezi Beach
Ina Vyumba Vitatu vya Kulala, Sebule, Jiko.
Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 900
Mahali : Mbezi beach Kwa Zena,(nyumba pili kutoka lami)
Bei : Million 350
Please Add a first listing