Nyumba inauzwa Kali sana
Nyumba ipo Mbezi Beach kituo tank bovu
Iko jirani sana na men road
Kushoto ukitokea mjini
Ina vyumba 4 vya kulala
Kimoja ni master bedroom kikubwa sana.
Siting room kubwa na daining jiko kubwa la kisasa na pablick toilet.
Nje kwa uwani kuna boy koter 2
Na geti mbili za gari kuingia na kutoka.
Ina title did sqm 500.
Kwa Sasa Ina mpangaji analipa Kodi kwa mwezi ML 1.2.
Anauza mwenyewe Bei ML 270 twende ukaone uongee nae tumalize