Nyumba inauzwa Africana -Mbezi Beach
Nyumba ina Full AC
-Nyumba ina geti, ukuta na fence ya umeme
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala huku 2 ni master bedroom, kitchen, dinning room, sitting room na public toilet.
-Umbali kutoka Barabarani ni mita 50 Ina parking space ya magari 3.
-Document za manunuzi ya eneo na serikali za mtaa
-Plot size Sqm 450
Bei milioni 150 maongezi yapo