NYUMBA INAUZWA (BINAFSI) IPO MBEZI AFRICANA NJIA YA WHITE SEND. NI NYUMBA YA TATU TOKA MATAA SASAIVI INATUMIKA KAMA HOSPITAL. INATAZAMA LAMI.
LOC : MBEZI AFRICANA
AREA : SQM 720
PRICE : MIL 500.
UMILIKI : HATI MILIKI (TITLE)
HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30