Nyumba inauzwa
Location:- Mbezi beach Upande wa juu ( Makonde)
Bei:-Tsh Million 65
Ukubwa wa Nyumba ni SQM 500
Document:- Ina leseni ya makazi (Serikali ya mtaa)
Muundo wake na sifa zake:-
1.Ina vyumba viwili vya kulala
2.Chumba kimoja ni Master
3.Sitting room
4.Dining
5.Jiko la makabati
6.Public toilet
7.Paving blocks
8.Parking
9.Fenced
Angalizo:- Gharama za kupelekwa kuona nyumba
Tsh Elfu 50