House for sale (Nyumba inauzwa)
Kubwa ya kifamilia
Location:- MBEZI BEACH JOGOO
Asking price:- Tsh Million 90
Plot size:- SQMT 1000
UMILIKI LESENI YA
Muundo wa Nyumba:-
1.Ina Vyumba vitano (5)vikubwa vya kulala
2.Vyote ni self contained (Master)
3.Sebule kubwa nzuri
4.Jiko zuri la kisasa la makabati
5.Public toilet and Bathroom (Bafu na Choo cha ndani)
6.Private Electricity Meter (Luku yako)
7.Dawasco water supply (Maji ya bomba yapo)
8.Parking Space kubwa
9.Paving block
10.Fenced
Service charge Elfu 50