NYUMBA INAUZWA.
Mahali: Mbezi Makabe-Dsm.
SIFA ZA NYUMBA.
-Ukubwa wa kiwanja Sqm 1000.
-Nyumba Ina vyumba 03,kimoja Master, Sebule, Dinning Room,Jiko 02 ndani na nje.
-Ghorofa ya Kumalizia Vyumba 04,kimoja Master.
-Kisima kikubwa Cha Maji ya kuvuna Lita 50,000.
-Mashine ya Kisasa ya kupandisha Maji.
Bei: Milioni 180 Fixed.