Nyumba Inauzwa nyumba ipo mbezi msigani km 1 toka mbezi center na miter 150 toka lami itokayo mbezi kuelekea kinyerezi nyumba inauzwa na bank Bei mil 55 Ina ukubwa wa eneo sqm 800 karibu mteja Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba master public nje ipo frem moja