NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISO KARIBU NA ST AUGUSTINE UNIVERSITY
Nyumba ina 3 Bedrooms
Master moja
Jiko
Sebule
Full ac vyumba vyote
2 Km toka barabara kuu (Morogoro road)
Iko ndani ya uzio (fenced house)
Full furniture.
BEI ni 350m tu mapatano kiasi kidogo
Value your money now.