Nyumba inauzwa milioni 130 maongezi yapo Nyumba ipo mbezi mwisho stend kuu ya magufuli terminal umbali kutoka magufuli terminal ni mita 700 tu > Nyumba zipo mbili kwenye eneo lenye ukubwa wa SQMT 700 Nyumba moja ni mpya na nyingine ni ya zamani Nyumba zote zinavyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic maji dawasco umeme barabara safi inayopitika vyema muda wote iwe kiangazi au masika mteja anaruhusiwa kukagua nyumba muda wowote