NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO LUGURUNI
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Ya Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 700
Umbali: 1 Kilometres Kutoka Morogoro Road
Barabara Iko Vizuri Mpaka Kwenye Nyumba
Bei : 85 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=