Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho barabara ya mpiji magoe kituo kwa majige
Ina: 4 bedroom
1 master room
Sitting room
Dining room
Kitchen
Stoo
Toilet public
Ukubwa wa kiwanja sqm 800
Maji/umeme upo pia kuna tank mbili za kutunza maji lita 6000 jumla zote
Kiwanja kimepimwa becone tayari Hati bado kutoka ardh
Bei:85m maongezi yapo