Nyumba ya gorofa Moja inauzwa Mbweni Mpiji inauzwa milioni 350 maongezi yapo ina vyumba 3 masta 2 Juu kuna vyumba 2 vyote masta chini Chumba kimoja sebule dining, jiko public toilet ukubwa Wa kiwanja ni SQMT 500 ina hati miliki maji yapo dawasa mafundi wanamalizia finishing.
Karibu sana