Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Mikocheni B karibu na kwa Mawaziri ina vyumba vitano vitatu ni master bedrooms ina dining,jiko na sebule kubwa
Kuna outside house with 1 room 1 bathroom 1 kitchen Bei 350,000$ mazungumzo yapo
Please Add a first listing