NYUMBA IKO MBEZI KWA MSUGULI SH MILION 55 MAONGEZI YAPO
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA MASTER BEDROOM
INA SITTING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA ;SQM 400
IKO UMBALI WA MITA 500 KUTOKA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD
MAJI SAFI YA DAWASCO NA UMEME VYOTE VIPO