Viwanja vinauzwa viwanja vipo mpiji magoe mtaa wa mkombozo km 1.5 toka barabara kuu itokayo mbezi kuelekea mpiji bunju daladala 500 na kutoka hapo mpiji mwisho kuelekea kule kwenye viwanja bodaboda 1000 viwanja vina ukubwa wa sqm 400 Bei mil 3.5 karibuni