NYUMBA KALI SANA INAUZWA #MPYAA MBEZI MSAKUZI
====
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa nzuri jiko kubwa na public toilet
====
Ukubwa wa eneo SQM 750
Ipo ndani ya fence
====
Bei: Mil. 85 #Maongezi yapo
====
Huduma zote za kijamii zipo, na mtaa nikwa kishua kabisa
===
Kupelekwa kuona nyumba hii ya kununua 20,000/=
====