NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI- MTONI KIJICHI KIGAMBONI
________
UMBALI DK 25 TOKA KIVUKONI
_____
UKUBWA WA ENEO LAKE SQ MITA 1200
________
NYARAKA ZA UMILIKI INA- HATI KAMILI
_______
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA ILIYOJENGWA KWA RAMANI YA KISASA
___
YENYE:-
Vyumba VITANO vikubwa vya kulala VIWILI #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko #Stoo #Balcony2 #Choo/#Bafu na public
________
(NB)
MIUNDOMBINU YAKE:-
#Barabara iko vizuri inapitika kwa nyakati/gari zote
#Umeme x #Maji vyote vipo
Good neighbourhoods as muonavyo ktk clip mtaa wa KISHUA
______
BEI – INAUZWA TSHS MIL 600 tsh) maongezi yapo kidogo
_______SERVICE CHAJI YA KUONA NYUMBA (TSH 20,000)