Kwa niaba ya bank na landlord….natangaza kutafuta mteja serious anunue nyumba hii….ipo Kijichi, na imekamata lami ya kijichi kwenda MikwambE nssf project to Kibada….nyumba.ziko 2 ktk plot moja yenye hati….main house ni 3 beddrooms moja ni self, jiko, dinning, sebule na public toilets….ka ghorofa nako kana chumba jiko choo na juu hivyo hivyoo.. BEI, .120M