Nyumba ya Kisasa Inauzwa na Bank milioni 130 maongezi yapo ๐ Ipo Tabata kinyerezi mwisho (A)- Dar es salaam โ Tanzania
โซVyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self contained โ Master bedroom
โซSitting room
โซDining room
โ Kitchen
โStore
โซ Public toilet
โซUkubwa wa kiwanja: sqmt 936
โdocument sales agreement Clean TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
โUmbali mita (500) kutoka barabara kuu ya lami ya Kinyerezi road โNyumba ipo mtaa mzuri sana uliojengeka kimpangilio mteja anaruhusiwa kukagua nyumba muda wowote โMaji safi dawasco umeme vyote vipo