Sifa ya nyumba Ni nyumb mzuri ambayo inavyumba 4 self contained,siting room, dinning room na pia ina public toilet ,jiok/store na frem ya duka na hati ya mauzo ipo na area sqm 800
Please Add a first listing