NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MALAMBA MAWILI
NYUMBA NI YA VYUMBA v4 SEBULE JIKO VYUMBA VYOTE NI MASTER PUBLIC
ENEO NI SQM 👉 1200
NYUMBA INAUZWA MIL 👉 150
NYUMBA INA TITTLE DEED MKONONI
NYUMBA IPO JILANI NA LAMI YA KINYEREZI MBEZI
UMBALI WA KM 👉 1.5
TOKA LAMI
KARIBU MBEZI MALAMBA MAWILI NI MBEZI YA KIMARA
KARIBU MTEJA