NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MSUMI
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO CHUMBA MASTER
ENEO SQM 500
BEI MIL 45
NYUMBA IPO MTAA MZULI SANA WENYE NYUMBA ZILIZO JENGEKA KIMAZUBUTI
NYUMBA IPO MITER 300
KUTOKA BARABARA KUU
UKISHUKA KWENYE DALADALA MITER 300 TU UPO NDANI
NYUMBA INAVYUMBA VIKUBWAAA NA SEBULE KUBWAA
UMBALI KUTOKA MBEZI YA KIMARA KM 9
NA KUTOKA MADALE KM 3
KARIBU SANA MTEJA