NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MKOA WA PWANI KWA KIPOFU
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO CHUMBA MASTER PUBLIC
NYUMBA NI MPYA NZULI NA YA KISASA IMEJENGWA KWA UMADHUBUTI WA HALI YA JUU
ENEO NI SQM 👉 800.
BEI NI MIL 👉 50.
UMBALI TOKA MORO ROAD NI KM 1
NYUMBA IPO KARIBU NA SHULE
HATI YA MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KARIBU MTEJA