Nyumba Inauzwa Tsh. 39 millions. Ipo pugu mpakani manispaa ya Jiji la Dar es salaam. Vyumba 4 sitting room master 1 jiko dining room & public toilet. Nyumba Ina maji ya Dawassa na umeme. Kiwanja sqm. 400 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa. Pia upimaji shirikishi umefanyika. Umbali kutoka main road Hadi kwenye nyumba ni dakika 7 kwa miguu.