Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Pugu Road Kituo ni Taliani kama unaelekea Chanika…
– Nyumba ya Gorofa Moja ina 4 bedrooms zote self contained Fully A/c..
– Ina Swimming Pool 10/5
– Plot size 1000 sqm ni corner plot
– Ina hati miliki
– Umbali kutoka barabara kubwa ya Lami mita 300 barabara zake za mitaa ziko vizuri panafikika kirahisi..
Bei TZS 550 MILLION Maongezi yapo