TZS 130,000,000
/mo
600
Pugu, Ilala Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania

Nyumba nzuri sana inauzwa Tsh. 130 millions, Nyumba ipo Pugu Kajiungeni manispaa ya Jiji la Dar es salaam. Vyumba 4 sitting room chumba kimoja master jiko & store Dining room & public toilet. Nyumba ipo ndani ya geti. Nyumba Ina maji safi na umeme. Kiwanja sqm. 600. Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa. Pia upimaji shirikishi umefanyika na bikoni tayari zimeshawekwa. Umbali kutoka main road Hadi kwenye nyumba ni sekunde 40 tu kwa miguu.

Overview

Sale Price TZS 130,000,000
Size 600
Property Lot Size 600
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now