Nyumba inauzwa Tsh. 47 millions, nyumba ipo pugu Kona manispaa ya Jiji Dar es salaam. Vyumba 2 sitting room chumba kimoja master jiko & public toilet. Mbele ya hii nyumba Kuna apartment ya chumba kimoja master na sebule. Nyumba ipo kwenye mtaa mkubwa mbele Ina fremu Moja ya duka. Nyumba Ina maji safi & umeme. Kiwanja sqm. 500 hati ya mauziano ya serikali ya mtaa. Umbali kutoka main road Hadi kwenye nyumba ni dakika 6 tu kwa miguu.