Nyumba Inauzwa Tsh. 50 millions nyumba ipo pugu Kona Dar es salaam. Vyumba vitatu sitting room chumba kimoja master jiko dining na public toilet. Nyumba ipo ndani ya fenzi nyumba Ina umeme na maji. Kiwanja sqm. 400 hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa.