Nyumba Inauzwa Tsh. 18 millions. Ipo pugu mwakanga manispaa ya ilala Dar es salaam vyumba vitatu sitting room chumba kimoja master jiko & public toilet. Nyumba imewekwa magrili pia shimo la choo limeshajengwa na kufunikwa tayari Bado finishing tu. Kiwanja kimepimwa Bado hati. Ukubwa sqm. 300. Pia huduma za umeme na maji vipo karibu.