Nyumba inauzwa maongezi kidogo yapo. Nyumba ipo pugu stesheni Dar es salaam. Vyumba 3 sitting room jiko dining room na public toilet. Nyumba ipo ndani ya fensi nyumba Ina maji safi na umeme nyumba pia Ina Air condition. Kiwanja sqm. 700 hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa.