Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Salasala ina vyumba vitatu kimoja ni master sebule dining jiko na public washroom nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 1000sqmt ina hati miliki bei ni 250m.
Please Add a first listing