Nyumba ina uzwa ipo sala sala sq mt 750 ina vyumba 4 moja ni masta nyumba nzuli sana kutoka lami ni mita 800 ipo sala sala mwisho wa lami nyumba ina hati miliki inauzwa milioni 180 maongezi yapo
Please Add a first listing