NYUMBA INAUZWA TABATA SANENE NZURI SANA
Ina Vyumba Vinne Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (Title Deed)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 704
Sio Mbali Kutoka Barabara Ya Lami
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Barabara Iko Vizuri Mpaka Kwenye Nyumba
Bei : 190 Million (Maongezi)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=