TZS 45,000,000
/mo
621
Kinyerezi, Ilala Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania

Nyumba inauzwa milioni 45 maongezi yapo ipo Tabata kinyerezi mwisho inavyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store pablic toilet ukubwa wa eneo ni SQMT 621 document sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali ya mtaa) Maji safi dawasco umeme vyote vipo karibu umbali mita 800 kutoka barabara kuu ya lami

Overview

Sale Price TZS 45,000,000
Size 621
Property Lot Size 621
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now