Nyumba inauzwa ipo Kinyerezi kifulu inauzwa milioni 75 maongezi yapo inavyumba 3 masta 1 sebule dainingi jiko pabiliki toleti kilachumba kinakabati languo nakunasito ukubwa Wakiwanja SQM 400 ATI mauziano yaserekali Zamta kumepimwa kunamawe kutoka saiti kilometa 1 upokwako ukichelewa shauriyako garama zakupelekwa saiti 30