Nyumba inauzwa Milioni 80 Kinyerezi sitendi kutoka lami dakika 3 kwa mwendo wa Miguu ina vyumba 3 masta 1 sebule daining jiko public washroom ukubwa wa Kiwanja ni SQM 400 kumepimwa ahati bado ipo kwenye mchakato.
Please Add a first listing