nyumba inauzwa Tabata Segerea Bei ml 200 mazungumzo yapo.nyumba yenye vyumba vinne vya kulala, viwili ni self containing, sitting room, dining room, kitchen, public toilet.uwani Kuna vyumba viwili na choo yake..kiwanja chake sqm 600. Document title deed.nyumba nzuli sana na Bado mpya..mita 400 Toka segerea kituo Cha daladala Cha Segerea Mwisho..anaishi mwenyewe kuona hakuna tatizo mda wowote mteja anaona