NYUMBA INAUZWA BEI 550 MILIONI MAONGEZI
Location tegeta block G
Mtaa wa bahari
Nyumba vitano
Master moja
Vyoo viwili vya public
Ukubwa Sqm 720
Bei yake ni Milioni 550 MAONGEZI
Ina hati miliki
AC Ipo kila sehemu
Ina sebule mbili juu na chini
Ina Barcon sita
Jiko kubwa lenye makabati yakutosha
Karibuni sana aliye serious