Hii nyumba inauzwa bei kitonga mil 27 maongezi yapo nyumba ni ya vyumba v3 sebule tu vyoo vipo nje nyumba ipo tegeta A kwa madawa miter Mia toka stendi ya daladala eneo miter 17 x 17 nyumba Ina tailizi jipsome nyumba bado kuwekwa umeme tu nguzo ipo hapo karibu