Nyumba ya kisasa inauzwa milioni 85 maongezi yapo Nyumba ipo Mivumoni Centar Nyumba ina vyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store na public toilet ukubwa wa eneo ni SQMT 500 document sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali ya mtaa)Maji safi dawasco umeme vyote vipo Nyumba ipo ndani ya fansi