TZS 475,000,000
/mo
5
3
1300
Ununio Road, Basihaya, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania

Ununio Kwa Kondo

Square Meters 1300 with Title Deed✅

Nyumba nzuri sana ya 5bedrooms iliyo katika eneo lenye square meters 1300 imeshuka tena bei kutoka Tshs 550,000,000/-❌

Sasa mmiliki ana shida ya pesa anataka 475,000,000/-✅
Mazungumzo makubwa yapo mmiliki haachi hela njoo na offer yako ana shida mno✅

Katika 5bedrooms zake, zipo 2master bedrooms, sitting room ya kibabe, dinning room nzuri, kitchen kubwa na public toilet very smart, pia ipo servant quarter nzuri sana na Mitaa yake ilipo nyumba hii, wanaishi wakubwa wa Nchi, wastaafu na vizito wengi wa kisekta waliyo Serikalini.

 

Overview

Sale Price TZS 475,000,000
Size 1300
Property Lot Size 1300
Bedrooms 5
Bathrooms 3
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now