NYUMBA NZURI MNO YA GHOROFA YENYE 5BEDROOMS ILIYOKAA KIMKAKATI KIUCHUMI INAUZWA TSHS 450,000,000/-✅
Square Meters 1000 with Tittle Deed✅
Katika 5bedrooms zake, zipo 2master bedrooms, sitting room, dinning room, kitchen na public toilet very smart, pia ipo servant quarter nzuri.
Nyumba ipo katika Kiwanja chenye hati miliki safi kina ukubwa wa sqm 1,000.