INAUZWA NI FLAME PAMOJA NA NYUMBA
NYUMBA INA VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTER INA SEBULE KUBWA
MBELE KUNA FLAME TANO NA ZOTE ZINA WAPANGAJI
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITRE 400
UMILIKI HATI YA MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
NYUMBA IPO VISIGA MADAFU
NYUMBA INAANGALIA SERVICE ROAD YA MOROGORO ROAD
ZOTE KWA PAMOJA BEI NI TSH 35 MILIONNI