Hizi Nyumba zipo mbili eneo moja zinatazamana.
Zipo kwenye Compound Moja Zinauzwa.
Nyumba ni nzuri ndani ni full tiles na Gypsum.
Zina Vyumba vitatu kimoja master,public toilet,dinning.
Ukubwa wa eneo kwa ujumla ni square metre 850.
Kila moja inataka 60M.
Zipo Kibamba,
Umbali kutoka Morogoro road ni metre 500.tu.
Waeza zibadilisha matumizi ukafanya Lodge,maana zipo kwenye eneo lenye mzunguko Mkubwa wa kibiashara.Center.