Nyumba mpya Nyumba nzuli sana sana ipo Goba njia4 ina vyumba 3 viwili ni masta jiko nyumba imeisha yaani una weza hamia tuu hata leo bado rangi ya mwisho kutoka lami ni kiwanja cha pili ukubwa wa kiwanja 900sqmt kimepimwa BEI MILIONI 200 MAONGEZI YAPO NYUMBA IME NYOKA SANA