Nyumba mpya Nyumba mzuli sana sana ipo Goba njia4 ina vyumba 3 viwili ni master ina jiko nyumba ime isha yaani unaweza kuhamia tuu hata leo bado langi ya mwisho tu kutoka lami ni kiwanja cha pili ukubwa wa kiwanja ni sqmt 900 kimepimwa BEI MILIONI 200 MAONGEZI YAPO NYUMBA IME NYOKA SANA