Nyumba ya gorofa inauzwa ipo Goba njia4 kama una elekea mbezi kimala kutoka lami mita 300 tuu ukubwa wa kiwanja sqmt 900 Nyumba ina lum4 zote masta BEI MILIONI 490 MAONGEZI YAPO NYUMBA NI MPYA HATI IPO MWISHONI
Please Add a first listing