Nyumba mpya inauzwa Kigamboni Dege Ina vyumba vitatu viwili ni master bedrooms, sebule, store,dining na jiko kiwanja kina ukubwa wa 780sqmt nyumba ina hati miliki na ina bima ya miaka mitatu.
Please Add a first listing